Nenda kwa yaliyomo

Hamdy Ahmed

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hamdy Ahmed

Amezaliwa 9 Novemba 1933
Amekufa 8 Januari 2016 (umri 82)
Kazi yake Mwigizaji

Hamdy Ahmed Mohamed Khalifa (9 Novemba 1933, Sohag, Misri – 8 Januari 2016) alikuwa mwigizaji[1] wa Kimisri. Anajulikana kwa nafasi yake kama Mahjoub Abdel Dayem katika filamu Cairo 30 (1966).

Ahmed alikuwa mwakilishi wa bunge kwa jimbo la Bulaq wakati wa uhamisho wa lazima wa wakazi wa eneo hilo kwenda katika makazi ya umma katika wilaya ya az-Zawiya al-Hamra, pembezoni mwa mji wa Cairo.

Alikuwa mwanachama wa Labour Party of Egypt, lakini aliondoka mwaka 1984.[2] Ahmed pia alikuwa mchambuzi (columnist) wa gazeti Elosboa.

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hamdy Ahmed kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. ↑ https://english.ahram.org.eg/NewsContent/5/32/180395/Arts--Culture/Film/Egyptian-actor-Hamdy-Ahmed-dies-at-.aspx
  2. ↑ https://books.google.co.tz/books?id=5_cmJjC1fa8C&redir_esc=y