Nenda kwa yaliyomo

Kitana

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kitana cha kisasa chenye saizi ndogo, na kubwa kwa nywele tofautitofauti.
Matumizi ya kitana asili.

Kitana ni kifaa kinachotumika kutana nywele. Kuna aina nyingi za vitana: kuna kitana kikubwa kwa ajili ya nywele ndefu, na kidogo kwa ajili ya nywele fupi na cha saizi ya kati. Siku hizi mara nyingi kitana huwa ni cha plastiki.[1][2]

  1. ↑ Oxford University Press. (2010). "African Weapons: Kitana". *Oxford Reference on Weapons and Armor*. https://www.oxfordreference.com
  2. ↑ Msemwa, J. (2005). *Silaha na Utamaduni wa Afrika Mashariki*. Dar es Salaam: University of Dar es Salaam Press. Kitabu kinachofafanua historia na matumizi ya kitana katika jamii za jadi.
Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.